Wednesday, February 20, 2008

Bongo Movies

Kuna habari nyingi sana zinapita kila siku katika ulimwengu huu zinahusu mambo mbali mbali,lakini kwa bahati mbaya sana kuna habari chache sana zinazohusu sanaa ya filamu na wasanii wake; kipi kimeingia sokoni,kipi kiko katika maandalizi na nani anafanya nini nani anaandaa nini, Blogu hii itakupa nafasi ya kupata habari hizi kwa njia nyepesi tena katika kipindi zinapotokea tu,ili upate fursa ya kujua kila kitu kinachotokea katika ulimwengu wa filamu;sanaa ambayo inakuwa kwa kasi kubwa sana hapa nchini.Ungana nami ili uweze kuyapata yakiwa bado moto!!

4 comments:

Philbert said...

Tunasubiri mambo kaka Ray mbona unachelewesha?

GHISLAIN JAY said...

Ningeli tamani kuanza nunua filamu
zote za Vicent Kigosi kwani mimi
ni mufanya vyashara aishiye mjini
Bukavu, ndani ya Kongo ya Kidemocrasia. Ningependa hata kukua na filamu zote za mupya haraka.

Contacts zangu: ghis_vandel@yahoo.fr
00243 8535 97919

francine said...

hi my name is francine jackson naishi marekani but i love watchin ur movies salamu zangu ziwafikie wale wote wanawocheza movies na wewe nda usisahau kumsalimina rafiki yako steven kanumba kigosi u handsome and hot i love u guys y'all

Kila kitu Tanzania said...

Hello, I want to be a film actor, by the moment i am 27,M, a college graduate from IFM lives at kijitonyama in Dar es alaam. can u help me please. my contact is +255 754 04 86 05 and +255 783 50 36 90