Wednesday, February 20, 2008

Bongo Movies

Kuna habari nyingi sana zinapita kila siku katika ulimwengu huu zinahusu mambo mbali mbali,lakini kwa bahati mbaya sana kuna habari chache sana zinazohusu sanaa ya filamu na wasanii wake; kipi kimeingia sokoni,kipi kiko katika maandalizi na nani anafanya nini nani anaandaa nini, Blogu hii itakupa nafasi ya kupata habari hizi kwa njia nyepesi tena katika kipindi zinapotokea tu,ili upate fursa ya kujua kila kitu kinachotokea katika ulimwengu wa filamu;sanaa ambayo inakuwa kwa kasi kubwa sana hapa nchini.Ungana nami ili uweze kuyapata yakiwa bado moto!!